Header Ads Widget

Ticker

6/recent/ticker-posts

F1: KIMI RAIKKONEN ATAKOSA MASHINDANO YALIYOBAKI



Kimi Raikkonen atakosa mashindano ya F1 yaliyobaki kutokana na kuumia mgongo kwahiyo atafanyiwa operation ya mgongo muda si mrefu...Lotus, timu anayetoka Kimi, inabidi watafute dereva myingine wa kushindana huko Austin na Brazil...Kwa habari zaidi bofya hapa...

Yorum Gönder

0 Yorumlar